KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, January 1, 2013

KOCHA MPYA SIMBA AMWAGA WINO MIEZI MINANE


KOCHA Mkuu mpya wa Simba, Patrick Leiwig kutoka Ufaransa, leo amemwaga wino wa kuifundisha timu hiyo kwa mkataba wa miezi minane. hafla ya kutia saini mkataba huo ilifanyika kwenye hoteli ya Spice iliyopo mtaa wa Lumumba na kusuhudiwa na Makamu Mwenyekiti wa Simba,Geofrey Nyange 'Kaburu' na Katibu Mkuu, Evod Mtawala.

No comments:

Post a Comment