KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, June 23, 2012

AIRTEL YATOA VIFAA VYAMICHEZO KWA SHULE ZA MSINGI GONGO LA MBOTO

Ofisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde akikabidhi jezi za mpira kwa Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Maarifa Mwl Marietha Mulyalya wakati Airtel ilipotembelea shule za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto JaikaGongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jana

Walimu wa shule za msingi za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika wakiwa na jezi zao mara baada ya kukabithi vifaa vya michezo na Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel, makabithiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi Maarifa Gongolamboto jijini Dar es Saalam. Pichani (Katikati) ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde


Ofisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akikabidhi jezi na mpira kwa mwalimu wa taaluma na michezo wa shule ya msingi ya Gongolamboton Jaika, Almasi Shemdoe wakati Airtel ilipotembelea shule za msingi za Gongolamboto za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika na kugawa vifaa vya michezo.





Ofisa uhusiano wa Airtel, Jane Matinde akikabidhi jezi na mpira kwa Mwalimu wa Taaluma na michezo wa shule msingi ya Mwangaza Mwl Abdul Mwarami wakati Airtel ilipotembelea shule za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika Gongolamboto na kukabidhi vifaa vya michezo hapo Jana.


Walimu wa shule za msingi za Mwangaza, Maarifa na Gongolamboto Jaika wakiteja jambo mara baada ya kukabithiwa vifaa vya michezo na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.


Kikundi cha kwaya cha shule ya msingi ya Maarifa kitumbuiza wakati wa hafla ya kukabithiwa vifaa vya michezo illiyofanywa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika shule ya msingi Maarifa Gongolamboto jijini Dar esa saalam

No comments:

Post a Comment