KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, June 22, 2012

HILDA NDIYE MISS DAR INTER COLLEGE

Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Jamila Hassan (kulia) na Rose Muchunguzi (kushoto) mara baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment