KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, June 9, 2012

Waziri Fenella aitembelea Twiga Stars



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo awatembelea twiga stars kambini ruvu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia.



Baadhi ya Wachezaji wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars wakimsikiliza Mheshiiwa Dkt Fenella Mkangala wakati alipowatembelewa kwenye kambi ya Kikosi cha Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu



Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha Ruvu (JKT ) Meja Alex Kakwaya akiteta jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bi. Juliana Yassoda wakati ugeni wa Wizara ulipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Twiga Stars kilichopo mazoezini kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya Kikosi cha Ruvu JKT. Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM

No comments:

Post a Comment