KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, June 23, 2012

KALALE PEMA KOMREDI WILLY!

Mke wa marehemu Willy Edward akilia kwa uchungu mbele ya jeneza lenye mwili wa mumewe wakati wa kumuaga kwa mara ya mwisho kabla ya mazishi.


Watoto wa marehemu Willy Edward wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao wakati wa mazishi yaliyofanyika jana
Mkuu wa wilaya ya Magu, Jacqueline Liana akitoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Willy Edward aliyezikwa jana nyumbani kwao Serengeti mkoani Mara




Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, Absalom Kibanda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Willy Edward. Nyuma yake ni Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanji


Picha ya juu ni baba wa marehemu Willy Edward akilia wakati akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa mwanaye. Picha ya chini ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja akitoa heshima zake za mwisho

No comments:

Post a Comment