KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, June 12, 2012

Wakazi Iringa wajitokeza kwa wingi kushuhudia huduma mpya ya Airtel

Mmoja wa wakazi wa Iringa aitwaye Theresia Mifwa akikabidhiwa simu ya mkononi aina ya sumsung na Meneja Mahusiano wa Airtel-Tanzania,Jackson Mmbando, mara baada ya kuichambua vyema huduma ya Jiunge na Supa5 kwa ufasaha ,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5 uliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa Mwembe Togwa mkoani Iringa. Airtel Jiunge na Supa5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548.

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya (hip hop),aitwaye Roma akiwarusha baadhi ya Wakazi wa mji wa Iringa walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini humo na kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.


Sehemu ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika mwishoni mwa kwenye uwanja wa Mwembe Togwa wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.Aidha huduma hiyo itatambulishwa tena hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548.













No comments:

Post a Comment