KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, June 9, 2012

Mtoto wa Profesa Zawose arithi kipaji cha baba





Msafiri Zawose, mtoto wa marehemu Hukwe Zawose ameamua kurithi kipaji cha baba yake kwa kuendeleza utamaduni wa kabila la kigogo. Kwa sasa, Zawose ameamua kufungua darasa lake kwa ajili ya kufundisha ngoma za makabila mbalimbali ya Tanzania nchini Marekani. Pichani juu, Zawose akiwa na mkewe pamoja na baadhi ya wanafunzi wake.

Msafiri anapatikana kwa shughuli za aina zote kama vile harusi na shughuli maalum yeye ni mtaalam wa ngoma za asili atakuwepo Marekani mpaka Aug 8, 2012, kampuni yake inaitwa ART PROMOTERS FOUNDATION na unaweza mtembelea msafirizawose.wordpress.com/art-promoters/ na pia unaweza wasiliana nae kupitia-simu: +255 784 829 218 au 865 591 5257 barua pepe: mzawose@gmail.com Store: esty.com/shop/mzawose Music:msafirizawose.bandcamp.com

No comments:

Post a Comment