Daniel Akuffo (kushoto) na Paschal Ochieng kabla ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuwatambulisha Ochieng na Akuffor jana.
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope akimkabidhi jezi beki wa kimataifa wa Kenya, Paschal Ochieng baada ya kumtambulisha kwa waandishi wa habari jana
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope akimkabidhi jezi mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Daniel Akuffo mara baada ya kumtambulisha kwa waandishi wa habari jana.
No comments:
Post a Comment