KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, August 14, 2012

MATUMLA, MANENO OSWARD KUZIPIGA TENA IDDI PILI DAR LIVE

Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla akitunishiana misuli wakati wa kutangaza pambano lao la ndondi za kulipwa la uzani wa middle linalotarajiwa kufanyika Iddi Pili kwenye ukumbi wa Dar Live, Mbagala, Dar es Salaam.

Promota Kaike Siraju (katikati) akiwatambulisha Rashid Matumla (kulia) na Maneno Osward wakati wa kutangaza pambano lao.


No comments:

Post a Comment