KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, August 26, 2012

GRAND MALT YAKABIDHI VIFAA KWA TIMU ZA Z'BAR

Machano Othman Said,Waziri asiYe na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akimkabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye ligi kuu ya Grandmalt Zanzibar kwa mwakilishi wa timu ya Jamhuri ya Pemba. Wa pili kulia ni Meneja masoko wa Grandmalt Fimbo Buttalah na makamu wa Rais wa ZFA Ally Mohamed.


Waziri asiye na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Machano Othman Said
akiwa na Meneja Masoko wa Grandmalt, Fimbo Butalah na makamu wa Rais wa ZFA, Ally Mohamed na mwakilishi wa timu ya Jamhuri.

No comments:

Post a Comment