KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, August 12, 2012

SIMBA YAWEKA HADHARANI MKATABA WAKE NA TWITE

Huu ndio mkataba uliowekwa hadharani leo na viongozi wa klabu ya Simba kati yao na mchezaji Mbuyi Twite kutoka klabu ya APR ya Rwanda. Beki huyo, ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, pia inadaiwa kuwa amesajiliwa na Yanga. Click mara mbili kila page ili uweze kusoma maelezo ya mkataba huu









No comments:

Post a Comment