KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, August 10, 2012

MWIGIZAJI WA BONGO MOVIE, ROSE THOMAS AFARIKI DUNIA

Mwili wa marehemu Rose Thomas ukiwa kwenye jeneza

Marehemu Rozi Thomas

Baadhi ya wacheza filamu maarufu wa kike wakiwa kwenye msiba huo

Ni majonzo matupu wakati wa msiba wa dada Rozi Thomas

Hali ilivyokuwa kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Marehemu Rose Thomas alikuwa mwigizaji wa filamu za Kitanzania (Bongo Movie) kwa kipindi kirefu sana. Kuna baadhi ya filamu ambazo amecheza na wasanii wengine kama Jennifer Kyaka (Odama). Filamu hizo ni Roleen, Rude, House Maid, na pia Chocolate ambayo haijaingia sokoni. Marehemu Rose alikuwa anahusika na maswala ya "make up" wakati wa maandalizi ya kutengeneza filamu.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu mpaka mauti yalipomkuta siku ya Jumamosi 5 Agosti 2012 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam.


Marehemu ameacha mtoto mmoja Loveness mwenye umri wa miaka 11.
Mbali na uigizaji, marehemu Rose Thomas alikuwa akifanya kazi Salon.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA

No comments:

Post a Comment