KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, August 20, 2012

LISA JENSEN AREJEA MIKONO MITUPU TOKA CHINA

Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss World 2012, Lisa Jensen akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana.

Lisa Jensen akiwa amepozi na mwanadada, Amisa Hassan mara baada ya kurejea nchini jana kutoka China alikokwenda kushiriki katika shindano la kumsaka mrembo wa dunia wa 2012.

No comments:

Post a Comment