KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, August 15, 2012

WATALII WA TZ WAREJEA KUTOKA LONDON

Wachezaji wa mchezo wa kuogelea wa Tanzania wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam wakitokea London, Uingereza walikokwenda kushiriki michezo ya Olimpiki.


Mama huyu akimsalimia kwa furaha mwanaye, mwogeleaji wa Tanzania baada ya kurejea nchini leo kutoka London, alikokwenda kushiriki kwenye Michezo ya Olimpiki


No comments:

Post a Comment