KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, August 12, 2012

HUU NDIO MWONEKANO WA SASA WA NAOMI










Mwanamitindo nyota na maarufu duniani, Naomi Campbell wiki hii aliwashtua mashabiki wake baada ya gazeti la Daily Mail la Uingereza kuchapisha picha za mwonekano wake mpya zilizochukuliwa hivi karibu alipokuwa akivinjari na kula raha na mpenzi wake katika pwani ya Ibiza. Hebu mcheki, utadhani siye yeye!

No comments:

Post a Comment