KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, August 10, 2012

AIRTEL YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (wapilikushoto) akichukua chakula pamoja na baadhi ya wateja wao wamakampuni katika hafla ya futari waliyowaandalia katika Hoteli yaSerena, Dar es Salaam jana.

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia)akimwekea chakula mmoja wa wa teja wao katika hafla ya futariiliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika
Hoteli yaSerena, Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wateja wa Airtel wakipakua mlo wa futari katika haflahiyo iliyoandaliwa na Airtel katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana.

Ofisa Mauzo wa Wateja Wakubwa wa Airtel Tanzania, Mariam Ikoa (kushoto) akimkabidhi zawadi Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Suleiman Kova katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Matawi na Utawala wa Shirika la Nyumba (NHC) Raymond Mndolwa na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji waAirtel, Sam Elangallor.

No comments:

Post a Comment