KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, August 19, 2012

SIMBA B YAFANYA KWELI, YAICHAPA MTIBWA 4-3, YATWAA KOMBE LA BANKABC SUPER 8

Wachezaji wa Simba B wakiwa na kombe la ubingwa wa BankABC Super 8 baada ya kuichapa Mtibwa Sugar 4-3

Wachezaji wa Simba B wakiwa katika picha ya pamoja

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk Fenela Mukangara akimkabidhi kombe nahodha wa Simba B, Chritopher Edward

Wachezaji wa Simba B wakiwa wamembeba kocha wao Selemani Matola

Chukua kombe mwanangu! Ndivyo anavyoelekea kusema Dk Fenella kabla ya kumkabidhi kombe nahodha wa Simba B, Chriss Edo

No comments:

Post a Comment