
Majaji wa shindano la Epiq Bongo Star Search, Rita Poulsen, Master J na Salama Jabir wakitoka ndani ya banda la Zantel kwenye maonyesho ya sabasaba mjini Dar es Salaam

Rita Poulsen na Salama Jabir wakipiga picha na wafanyakazi wa Zantel

Master J akipiga picha mbele ya bango la tangazo lenye picha yake

Jaji mkuu wa EBSS, Rita Poulsen akisalimiana na wafanyakazi wa Zantel kwenye banda la maonyesho la kampuni hiyo viwanja vya sabasaba

Baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda la maonyesho la Zantel wakisalimiana na Master J na Salama Jabir
No comments:
Post a Comment