KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, July 7, 2012

WEMA SEPETU, JACQUELINE WOLPER HAKUNA MBABE

Jacqueline Wolper na Wema Sepetu wakitoka ulingoni mara baada ya pambano lao lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumalizika.

Mwamuzi John Chagu akiwatangaza Wema Sepetu na Jacqueline Wolper kuwa wametoka sare katika pambano lao lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Wema Sepetu akimkimbia Jacqueline Wolper wakati wa pambano lao lililofanyika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wakiwindana wakati wa pambano lao

Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wakipiga picha ya pamoja mara baada ya pambano kati yao kumalizika.

No comments:

Post a Comment