
Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki akiimba kwa hisia kali wakati wa onyesho lao la kwanza nchini Finland lililofanyika mwishoni mwa wiki.

Super Nyamwela akiwaongoza wacheza shoo wenzake kufanya mavituz stejini

Wacheza shoo wa Extra Bongo wakifanya vitu vyao stejini

Super Nyamwela akitoa somo kwa vijana wa Kifinnish baada ya kuvutiwa na miondoko ya bendi hiyo.

Wanamuziki wa bendi ya Extra Bongo wakiwa stejini nchini Finland
No comments:
Post a Comment