KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, July 17, 2012

LISA JENSEN AENDA CHINA KUSHIRIKI MISS WORLD 2012

Lisa Jensen akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashim Lundenga leo kabla ya kwenda China.

Mrembo wa Tanzania, Lisa Jensea akila pozi lililojaa tabasamu akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.

Mrembo wa Tanzania, Lisa Jenses akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na mkuu wa itifaki, Albert Makoye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment