KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, July 21, 2012

YANGA YAIPIGA APR

Mabingwa watetezi wa michuano ya soka ya Kombe la Kagame, Yanga jana waliichapa APR ya Rwanda mabao 2-0 katika mechi ya kundi C iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji Saidi Bahanuzi ndiye aliyeibeba Yanga baada ya kuifungia mabao yote mawili, moja katika kila kipindi.

No comments:

Post a Comment