KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, July 17, 2012

YANGA YAIBUGIZA WAU SALAAM 7-1

Mabingwa watetezi wa michuano ya soka ya Kombe la Kagame, Yanga leo wamefufua matumaini ya kufuzu kucheza robo fainali baada ya kuibugiza Wau Salaam kutoka Sudan ya Kusini mabao 7-1 katika mechi ya kundi B iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mechi hiyo ilihudhuriwa na mashabiki wengi wa timu hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti mpya wa Yanga, Yussuf Manji aliyefuatana na viongozi wenzake wapya.

No comments:

Post a Comment