KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, July 19, 2012

MANJI AKITAZAMA MECHI YA YANGA NA WAU SALAAM

Mwenyekiti mpya wa klabu ya Yanga, Yussuf Manji akishuhudia mechi ya michuano ya Kombe la Kagame kati ya Yanga na Wau Salaam ya Sudan Kusini akiwa kwenye kiti maalumu chini ya uwanja badala ya kuketi jukwaa kuu kama ilivyokuwa kwa viongozi wenzake. Mechi hiyo ilichezwa Jumanne iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment