KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, July 19, 2012

MASHUJAA WAJA NA RISASI KIDOLE

Bendi ya muziki wa dansi ya Mashujaa imeipua video ya wimbo wao mpya wa Risasi Kidole, ambao umekuwa ukitamba kwenye kumbi mbali mbali za muziki za mjini Dar es Salaam. Kiongozi wa bendi hiyo, Charles Baba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa, video hiyo itaanza kuonyeshwa hivi karibuni kwenye vituo vya televisheni nchini. Pichani, Charles alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu video hiyo. Kushoto ni Meneja wa bendi hiyo, Martin Sospeter.

No comments:

Post a Comment