
Kipigo hicho cha Simba kimekuja siku moja baada ya watani wao wa jadi, Yanga nao kukubali kipigo hicho cha mabao kutoka kwa Atletico ya Burundi.
Mshambuliaji Fenni Ali ndiye aliyewanyong'onyesha mashabiki wa Simba wa Simba baada ya kuifungia mabao hayo mawili, moja katika kila kipindi.
Katika mechi zingine za michuano hiyo zilizochezwa jana, Azam ililazimishwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mafunzo ya Zanzibar kwenye uwanja wa Chamazi wakati AS Vita iliitandika Ports ya Djibouti mabao 7-0.
No comments:
Post a Comment