KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, July 14, 2012

50 CENT ATIMIZA MIAKA 37





MWANAMUZIKI nyota wa Marekani, 50 Cent mwishoni mwa wiki iliyopita alisherehekea kutimiza miaka 37 katika klabu moja ya usiku inayojulikana kwa jina la Vendome iliyopo mjini Paris, Ufaransa.
Katika usiku huo, 50 Cent alitumia saa kadhaa akiwa na rafiki zake wakicheza muziki na kunywa pombe kali aina ya Dom Perignon na Belvedere.

50 Cent alikuwa amevalia fulana nyeupe, kofia ya baseball na mkufu mkubwa shingoni huku rafiki zake wakimpiga picha kwa kutumia simu zao za mkononi na kamera ndogo.

No comments:

Post a Comment