KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, July 6, 2012

KOCHA MPYA YANGA ATINGA MAZOEZINI, ANENA NA WACHEZAJI

Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akizungumza na wachezaji wa timu hiyo wakati wa mazoezi yaliyofanyika leo asubuhi kwenye uwanja wa Kijitonyama, Dar es Salaam. Kocha huyo alikuwa amefuatana na Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa na wajumbe wa kamati ya usajili, Ahmed Seif na Abdalla Bin Kleb. (Picha kwa hisani ya www.binzubeiry.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment