KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, July 15, 2012

MPIGANAJI CHRIS MWAMBONDA AFARIKI DUNIA

Marehemu Chriss Mwambonda akipokea cheti kutoka kwa mkurugenzi wa michezo
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Leonald Thadeo katika moja ya
shughuli za kimichezo.

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa nimepata taarifa kwamba mwandishi
mwenzetu Criss Mwambonda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa kutoka kwa ndugu yake aitwaye Obi pamoja na rafiki yake wa karibu Jimmy
Chika ni kwamba taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwao Mbezi, Dar es
Salaam. Mambo mengine kuhusiana na jambo hili tutajulishana wadau. Ni msiba wa wote na
sote njia yetu ni moja. Tumuombee Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi, marehemu
Mwambonda amewahi kufanyakazi katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.

No comments:

Post a Comment