KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, July 14, 2012

ALEXANDRA AJIRUSHA MEXICO






Mwanamuziki Alexandra Burke mwishoni mwa wiki iliyopita alionekana akijirusha katika mojawapo ya fukwe maridhawa nchini Mexico.
Alexandra alikuwa kivutio kikubwa kwa watu wengine waliokuwa wakijirusha kwenye ufukwe huo kutokana na kuvalia bikini iliyomkaa vyema mwilini na kumfanya awe na mvuto wa aina yake.

Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 23 alionekana kuwa mwenye furaha muda wote huku akitaniana na kucheza na rafiki zake.

No comments:

Post a Comment