KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, June 22, 2012

Wacheza tennis nyota katika onyesho la mavazi

Hawa ni baadhi ya wacheza tennis nyota duniani wakiwa katika onyesho maalumu la mavazi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mashindano ya Wimbledon.

No comments:

Post a Comment