KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, June 20, 2012

NANI KASEMA BONGO FLEVA HAILIPI?

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni alivuta mkoko wa kijanja aina ya Land Cruiser Prado TX wenye thamani inayokadiriwa kufika sh. milioni 60. Diamond amesema alikuwa na ndoto ya kuwa na mkoko huo muda na mrefu na kwamba anamshukuru Mungu kwa kufanikisha azma yake hiyo. Pichani, Diamond akiwa pembeni ya mkoko wake huo. (Picha kwa hisani ya blogu ya bongoflavalink)

No comments:

Post a Comment