KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, June 24, 2012

ISHA MASHAUZI APAGAWISHA MASHABIKI UHOLANZI







Mwanamuziki nyota wa muziki wa taarab nchini, Isha Mashauzi hivi karibuni aliwapagawisha mashabiki wakati alipofanya onyesho katika mji wa Den Haag nchini Uholanzi. Isha, ambaye anamiliki kundi la muziki huo la Mashauzi Classic, alipelekwa huko na promota King James.

Habari na picha zaidi unaweza kuzipata kupitia www.magangaone.blogspot.com

No comments:

Post a Comment