KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, June 20, 2012

BURIANI WILLY EDWARD

Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakijiandaa kuushusha mwili wa aliyekuwa mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward kwa ajili ya kuagwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jana

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi akitoa heshima za mwili kwa mwili wa aliyekuwa mhariri wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward jana.


Mwenyekiti wa chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akitoa heshima mbele ya mwili wa marehemu Willy Edward

No comments:

Post a Comment