KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, June 15, 2012

Tenga, Musonye kukutana na wanahabari leo

Dear All,
Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) litakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari.

Siku: Jumamosi (Juni 16, 2012)

Muda: Saa 4.00 asubuhi

Mahali: Ofisi za TFF

Wazungumzaji: Mwenyekiti wa CECAFA, Leodegar Tenga na Katibu Mkuu wa CECAFA, Nicholas Musonye Regards

Boniface Wambura

Media Officer

Tanzania Football Federation (TFF)
Member, CECAFA Media Committee

No comments:

Post a Comment