
Mrembo huyo ni Elidas Ella Chirwa (22) mwenye urefu wa 1.82m na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Malawi
Fainali za mashindano ya Miss East Africa 2012 zitafanjika tarehe 07 Septemba mwaka huu jijini Dar es salaam ambapo zitashirikisha nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Djibouti, Eritrea, Sudan, Ethiopia, Malawi, Madagascar, Reunion, Comoros, Seychelles, na Mauritius.
Mashindano ya Miss East Africa yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd ya jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment