KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, June 11, 2012

Maximo kutua kesho Dar

ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa timu ya soka Taifa, 'Taifa Stars',
Marcio Maximo anatarajiwa kuwasili nchini kesho tayari kwa kuanza kukinoa
kikosi cha Yanga.

Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu amesema leo kuwa, mara baada ya
kuwasili, Maximo atafanya taratibu za usajili.

Sendeu alisema kocha huyo anatarajiwa kuanza kuinoa Yanga Alhamisi

kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kombe la Kagame
itakayoanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwezi huu jijini

Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment