KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, September 7, 2012

MISS KINONDONI YAZINDULIWA




Mratibu wa Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Serengeti, jengo la Benjamin Mkapa, mtaa wa Azikiwe, Dar es Salaam wakati wa kutaja tarehe ya shindano la mwaka huu, ambayo ni Septemba 14, kwenye ukumbi wa Cassa Complex, Mikocheni, Dar es Salaam. Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012.

No comments:

Post a Comment