KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, September 2, 2012

ROSE NDIYE MISS KANDA YA MASHARIKI 2012

Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas akiwa ni mwenye furaha baada ya kutajwa kuwa mshindi na kujinyakulia taji hilo baada ya kuwashinda warembo wengine 11 katika kinyanganyiro hicho cha aina yake.


Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas (katikati) akipunga mkono kwa furaha akiwa na mashindi wa pili Irine Veda (kulia) na mshindi wa tatu, Joyce Baluhi mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo lililofanyika mjini Morogoro usiku wa Septemba Mosi, mwaka huu. Warembo hawa wote watashiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2012 baadae mwaka huu.

No comments:

Post a Comment