KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, September 13, 2012

HIVI NI VITU ADIMU KUTOKA MANCHESTER MUSICA BAND

Mwimbaji pekee wa kike wa Manchester, Annet George

Waimbaji wa Manchester wakilishambulia jukwaa wakati wa onyesho lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Dar Live, Mbagala, Dar es Salaam

Mwanadada Asia Khalili akilishambulia jukwaa. Kwa machejo mtoto huyu, we acha tu.


Waimbaji wa Manchester wakiimba kwa hisia kali. Kutoka kushoto ni Yohana Zungufya, Iddi Kosa na Twaha Khatibu

Huyo ni bibie Asia Khalili. Unataka kumuona? Nenda Manchester Band kila siku za Jumamosi pale Dar Live.

Chukua hiyo! Ndivyo anavyokwambia Asia

Huyu ni kimwana mwingine wa Manchester Band anaitwa Jenifa Urio. Hana tofauti kwa uchezaji na Betty Sumbu wa Bozi Boziana.

No comments:

Post a Comment