KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, December 22, 2012

MTANZANIA ATWAA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012


Mratibu wa shindano la Miss East Africa 2012, Renna Callist akitangaza matokeo ya washindi wa shindano la Miss East Africa 2012 lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaaam.
Mrembo wa Afrika Mashariki 2012 (Tanzania),Jocelyne Maro (katikati) akiwa na mshindi wa pili (Uganda),Ayisha Nagudi pamoja na Mshindi wa tatu (Burundi),Ariella Kwizera mara baada ya kupatikana kwa washindi hao katika Shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Mrembo wa Afrika Mashariki 2012 (Tanzania),Jocelyne Maro akiwa na washindi wenzake alioingia nao hatua ya tano bora katika Shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa
kuamkia leo.

Mrembo wa Afrika Mashariki 2012 (Tanzania),Jocelyne Maro akipungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment