KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, December 9, 2012

JK ALIPOMTUNUKIA NISHANI BI KIDUDE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete,akimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka
Khamis,(Kidude) kupitia Basaza katika sherehe za kutunuku nishani
mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Dar des Salaam,katika
kusherehekea maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la

Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka
Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na
Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za
kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment