KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, December 10, 2012

MIYEYUSHO AMCHAKAZA NASSIB


WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangara (kulia) akimvisha mkanda wa ubingwa wa taifa wa uzani wa bantam, bondia Francis Miyeyusho baada ya kumdunda Nassib Ramadhani kwa knock out ya raundi ya 10 jana katika pambano lililofanyika kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam. Kushoto ni mratibu wa pambano hilo, Mohamed Bawazir.

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt Fenella Mukangara akimpongeza Francis Miyeyusho baada ya kumdunda Nassib Ramadhani
FRANCIS Miyeyusho (kushoto) akimrushia ngumi Nassib Ramadhani wakati wa pambano lao lililofanyika jana kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam.
MASHABIKI wakimbeba Miyeyusho baada ya kumdunda Nassib jana

No comments:

Post a Comment