KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, June 8, 2012

REDDS MISS CHANG'OMBE KUPATIKANA KESHO

Warembo wanaotarajia kuwania taji la Redds Miss Chang'ombe kesho katika ukumbi wa Quality Centre, Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana kwenye mgahawa mpya wa City Sports & Lounge uliopo mkabala na sanamu ya Askari, katikati ya Jiji la Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)

Mwandaaji wa shindano hilo, Tom Chilala (kulia) akizungumza kuhusu maandalizi ya kimbembe hicho. Kutoka kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redds kinachodhamini mashindano hayo, Vick Kimaro na Meneja wa Kampuni ya Nexusw Consulting Agency, Neema David.


warembo wakiwa kwenye pozi

No comments:

Post a Comment