KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, July 1, 2012

Hispania mabingwa tena Ulaya

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Hispania wakishangilia ubingwa wa Kombe la
Mataifa ya Ulaya walioupata muda mfupi uliopita kwa kutandika bao 4-0 timu
ya Taifa ya Italy.


Torres akiipachikia timu yake ya Spain bao tatu dhidi ya Italy katika fainali
iliyomalizika muda mfupi uliopita,ambayo imeipatia ubingwa kwa mara
nyingine timu ya Taifa ya Hispania kwa ushindi mnono wa mabao 4-0.

Balloteli leo hata hakufua dafu


David Silva na goli la kuongoza.

No comments:

Post a Comment