KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, July 1, 2012

Aisha ndiye Miss Mara 2012

Aisha akivikwa taji baada ya ushindi

Redds Miss Mara 2012, Aisha Bakari (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Eugenia Fabiano (kushoto) na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu Jacqueline Mzava. Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye klabu ya Musoma.

No comments:

Post a Comment