KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, April 19, 2010

VICKY KAMATA KARUDI TENA




MWANAMUZIKI nyota nchini, Vicky Kamata akitumbuiza na kutunzwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uchangiaji wa mfuko wa CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Hafla hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment