KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, April 19, 2010

ATI BAO HILI LINA UTATA!


HILI ndilo bao la kusawazisha la Twiga Stars lililozuia utata katika mechi yake dhidi ya Ethiopia katika michuano ya kuwania ubingwa wa Afrika, iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Shuti la mshambuliaji Asha Rashid liligonga mwamba wa juu wa goli na mpira kutua ndani ya goli. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment