KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, April 19, 2010

JOTI ALIPOLAZWA MUHIMBILI



MSANII wa Orijino Komedi, Lucas Mhuvile 'Joti' aliyeumia shingo na kupata michubuko kadhaa
mikononi, wakati akiwa kazini hivi karibuni, akijuliwa hali na jamaa zake, wodini alikolazwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Muhimbili, Dar es Salaam. Kuhusu hali yake msanii huyo alimwambia mpigapicha Wetu kwamba anaendelea vema.

No comments:

Post a Comment