KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, November 21, 2012

SHUKURU MAJALIWA AVAMIA WK MUSIC BAND


Mwimbaji Shukuru Majaliwa (katikati) akiimba pamoja na waimbaji Amuri Debef (kushoto) na Kibastone Munyanya (kulia) wakati bendi ya WK Music Band ilipofanya onyesho kwenye ukumbi wa hoteli ya National iliyopo Chang'ombe, Dar es Salaam. Majaliwa alikuwa mwanamuziki mwalikwa, Amuri amejiunga na bendi hiyo akitokea Akudo wakati Munyanya anatokea bendi ya Manchester. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment